geti
Kuna tofauti sana kati ya mtoto wa kike wa geti kali na mtoto wa kiswazi! Kama Shaa anavyosema wao wana dola sisi tuna vijisenti na maisha yanaendelea.


Lakini kuna jambo moja la kuvutia kati ya mtoto wa geti kali na wa kiswazi. Ikitokea watoto wanajikwaa ona kitakachotokea:

Mtoto wa geti kali: Ohooo! My God / Jesus Christ!

Mtoto wa kiswazi: Kumamake, sijui choko gani kanitaja!


Comments

comments