Mtoto Ni Wa Mama Siku Zote

mama na mwana

Mama mmoja mswahili na mwanawe wa miaka mitano walikuwa ndani ya taxi usiku. Wakapitishwa mitaa ambayo wanawake wanajiuza:

Mtoto: Mama, hao watu waliosimama kando kando ya barabara wanafanya nini?

Mama: Wanawasubiri waume zao watoke kazini waje wawachukue ili warudi mwajumbani mwao!

Dereva taxi: Ahaaaa! Mama acha uongo! Mwambie mtoto ukweli, hao ni malaya na hapo walipo wanasubiri wanaume ili wafanye nao ‘matusi’ kwa malipo.

Mtoto: Mama, na watoto wanaozaliwa na hao wanawake hufanya nini?

Mama: Mara nyingi huwa ni madereva taxi!

😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆

Comments

comments