Michezo Mingine Ya Kijinga

fahari

Kuna jamii fulani huwa na michezo ya mafahari. Madume haya ya ng’ombe hutumika katika michezo ya kupambana na watu. Mafahari hawa huwapiga watu kwa mapembe huku watu hao wakijipeleka mbele ya mafahari hao na kuonesha uwezo wao wa kuyakwepa. Lakini kilichomkuta huyu jamaa sijui kama atacheza michezo ya aina hii tena iwapo alipona.

Comments

comments