blind

Mateso Kipofu; Usifanye vitu kwa mazoea!!!

Mazoea alikuwa ameamka mapema siku ya jumapili ili ajiandae kwenda kanisani. Akiwa ametoka kuoga na yuko na kanga moja akasikia mtu anabisha hodi! Kufungua akamwona kijana Mateso aliyekuwa na matatizo ya kutokuona na kumkaribisha.


Mazoea: Ahaaaa! Mateso karibu sana.

Mateso: Asante sana.

Mazoea: Umeopotea sana mtu wangu! (Wakati huo Mazoea alivua nguo zake na kuanza kujipaka mafuta akiwa uchi wa mnyama kwa kuwa alikuwa anajua Mateso ni kipofu!)

Mateso: Nipo dada yangu!

Mazoea: Upo wapi! Nina kama miezi miwili sijakuona! (Huku anaendelea kubinya chuchu zake na kujipaka mafuta taratibuuuuu!)


Mateso: Ila kweli dada yangu nilienda India kutibiwa macho na sasa hivi ninaona vizuri kabisa!

Unajua kilichoendelea? Endelea kubakia hapa hapa nitakufahamisha!

**********


Comments

comments