mourihno

Baada ya timu ya Chelsea ya Uingereza kusuasua kwenye msimu huu wa ligi ikiwa kama bingwa mtetezi. Imejikuta mpaka sasa ikicheza michezo 16 na kuambulia alama 15 tu!  Matokeo hayo mabaya yamemwachisha kibaru meneja wa timu hiyo Jose Mourihno na hii ndiyo sababu ya msingi iliyopelekea kufeli msimu huu!

Video Hii Hapa

Comments

comments