Majuto Ni Mjukuu

majuto

Wakati fulani huwa tunafanya maamuzi mabaya pasipo kujua kuwa yatatupa majuto baadaye. Hii hutokana pengine na kiburi cha uzima au kipato. Lakini tukijiweka katika ubinadamu yapo mambo hatupaswi kuyafanya kwa kuwa puuza wengine. Unaweza kujikuta unapata majuto makubwa yatakayoitesa nafsi yako mpaka kifo chako!

Comments

comments