Kweli Wanaume Ni Wabovu

beats

Kwa kweli nimekubali wanaume ni wabovu. Demu mmoja aliamua kudai kiburudisho kwa lazima mara baada ya mpenzi wake kushindwa kumpa burudani ya nyimbo.

Hii ilitokana baada ya demu mwenzie kumsifia sana mwanaume wake kwamba anajua kumwimbia na kumchezeshea midundo ya muziki yaani beats za kufa mtu.

Kwa wivu demu huyo akaamua na yeye amchezeshe kwata mwanaume wake ili asikie burudani ya kipaji cha mpenziwe!

Demu: Mambo baby

Msela: Poa baby, nambie

Demu: Naweza kukuomba kitu?

Msela: Chochote tu nambie baby

Demu: Unaweza kutengeneza beats kwa mdomo, kisha unitumie.

Msela: Sorry baby, sijui hata kuimba wala kutengeneza beats, afu niko ofisini.

Demu: Kama ukiweza kufanya hivyo, leo nitakuja nikupe vitu vyako vizuri vile ?☺?….

Msela: ??

Sekunde si nyingi yule demu akapokea  hii…… ??


Comments

comments