Kutana Na Paka Jasiri

paka na mamba

Paka ni mnyama wa kufugwa. Famili nyingi ni rafiki wa paka kwa sababu paka ana sifa ya usafi. Pia Paka hufukuza na kuua panya. Panya siku zote ni waharibifu hivyo watu wengi hufuga paka ili waepuke majanga yanayoweza kuletwa na panya.

Lakini huyu paka ameonyesha ujasiri mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani. Huyu ndiye paka jasiri zaidi katika historia ya dunia! 😀  Najua unatabasanu kwa shauku!

Kula Vitu Hapa Chini

Comments

comments