Kuna Migambo Wanaboa

Kuna maeneo kadha wa kadha unaweza kupita ukakuta yanalindwa na migambo au walinzi. Lakini mara nyingi migambo hao hutaka kujitutumua na kuwatisha watu bila sababu pale wanapokuwa wakipita kuendelea na shughuli zao. Sote twajua macho hayana pazia hivyo mtu anaweza pita eneo fulani huku akijaribu kuangaza huku na kule. Ila unaweza kujikuta matatani mikononi mwa migambo hao kwa sababu za kipuuzi kabisa.

Hii Video Inakuhusu


 

 

Comments

comments