Kipofu Na Mapaja

Kipofu mmoja aliingia mgahawani huku amevaa miwani ya rangi nyeusi. Baada ya kukaa, kaka mmoja mhudumu akaja kumsikiliza na kusema,

“nikupe chakula gani au nilete menu uchague mwenyewe?”

Yule kipofu akajibu,

“mimi sioni, ila letu kijiko alichotumia mteja wa mwisho alafu ntaagiza kile alichokula!”

Yule kaka mhudumu akaleta kijiko, kipofu akakinusa,


“aaah wali wa nasi na njegere,nipe”.

Siku ya pili akaja tena, kaka mhudumu akamuuliza tena,

“nilete Menu”,

kipofu “lete kijiko cha mteja wa mwisho kabla yangu”

Akaleta kijiko, kipofu akakinusa

“aaah ndizi nyama, nipe”

Siku ya tatu tena akaenda mgahawani, yule kaka mduhumu akafuata

” vipi mzee nilete kijiko kama kawaida?”,

kipofu “ndio, kama kawaida”

Basi yule kaka akamfata mkewe jikoni akasema,

“Rose kuna jamaa anajifanya anajua sana kunusa na leo nataka nimchezee akili yake, chukua hiki kijiko uwe

unakigusisha katikati ya mapaja yako”.

Yule mhudumu akampelekea kijiko yule kipofu kama kawaida,

kipofu “aaah nilikuwa sijajua kama Rose anafanya kazi hapa”.

**********


Comments

comments