Jamaa mmoja aliamua kutembeza kipigo kwa mke wake kutokana na tabia mbaya na dharau za mkewe. Kipigo hicho kilisababisha jirani kusikia kilio cha mwana mama huyo na akaamua kwenda kuamulia ugomvi.

Jirani alimsihi sana jamaa asimpige mkewe kwani siku hizi wanawake hawapigwi;

Jirani: Jirani, mke hapigwi jirani!


Mke: Mume wangu msikilize jirani anavyokwambia.

Mume: Mwanamke jeuri sana huyu, nimfanyaje sasa kama hapigwi?

Jirani: Dawa yake unaoa mke mwingine tu jirani!

Mke: Nyoooo! Hasidi weeee! Nipige mume wangu, usimsikilize jirani…! Nipige nikome maana mimi wakati mwingine sina ADABU!!

HIHIHIHIHIHI! CHEZEA UKE WENZA WEWE!

**********


Comments

comments