Hii ni fikra pevu kutokana na maendeleo makubwa ya sayansi na kuongezeka kwa kiasi kikubwa sana maarifa ya mwanadamu. Katika video hii kuna katuni ya kufurahisha sana pale inapoelezea namna ukuaji wa maarifa unavyoathiri nyanja zote.


Video hii inaonyesha ubunifu maridhawa wa ombaomba ili kuendana na wakati. Ni dhahiri kabisa hata ungekuwa ni wewe usingekuwa na kisingizio cha kushindwa kumpa ombaomba huyu pesa yako! Wakati hiki kituko leo hii kinaonekana kama ni kichekesho lakini ipo siku inakuja matukio haya yatajitokeza!

Bofya Hapo Umwone Matonya Wa Karne Ya 21

Kina matonya wa karne ya 21

Comments

comments