Kazi Ni Kazi Bora Mkono Uende Kinywani

kazi

Ukitaka kujua kupata kazi ni ngumu sana acha kazi kabla ya kupata kazi. Na wahenga wanasema, kazi ni kazi bora mkono uende kinywani. Wakati mjomba anasema hapa ni kazi tu, vijana wamekuwa ni wabunifu katika kufanya kazi. Wamekuwa wakijitafutia ajira kwa speed ya mwendo kasi.

Lakini kwa bahati mbaya sana mabosi wao nao wanakuja kwa mwendo kasi ule ule ili kuhakikisha kazi ni janga la kitaifa.

Angalia Video Hii


Comments

comments