mugabe

Usiku wa kuamkia siku ya sherehe ya uhuru, Rais Mugabe alikesha akiangalia simu yake ili kuangalia kama kuna ‘missed call’ au simu toka kwa Rais Magufuli juu ya mwaliko wa sherehe za miaka 54 ya Uhuru wa TZ na kula ubwabuwa!!!

Baada ya kuona kimya, mzee Mugabe  akampandia hewani msukuma huyo:

Mugabe: Hellow Mr!

Magufuli: Shikamoo mzee? Sema!

Mugabe: Mbona kimya?

Magufuli: Hebu ngoja nitakupigia baadaye!

Mugabe: Kwani uko wapi?

Magufuli: Alaah!Nipo dampo nazoa taka!!

Mugabe: sorry nimewrong nambari!!

Hapa kazi Tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Comments

comments