kuogelea

Jamani jiangalieni sana mnavyoandika CV zenu kwa sifa pindi mnapokuwa mnatafuta kazi.

Mfanyakazi: Bosi, leo siwezi kuja kazini kuna mvua kubwa imenyesha maji yamejaa kuzunguka nyumba yangu.

Bosi: Kwenye CV yako umeandika hobi yako ni KUOGELEA. Tukutane kazini!

Comments

comments