lowassa-na-ukawa

Siumi umi maneno, nayachukua kama alivyoyaandika mchambuzi maarufu wa soka nchini Edo Kumwembe,

“…..CCM kuongelea ubaya wa Lowassa kwa sasa ni sawa na mtu kujichungulia nyeti zake…Chadema kuongelea uzuri wa Lowassa kwa sasa ni sawa na mtu kujitekenya na kucheka mwenyewe….Vyote vinahitaji uso usio na soni-Edo kumwembe. “

Hebu nipe mawazo yako kwa kupiga kura hii!

[yop_poll id=”8″]


Comments

comments