Huu Wimbo Kama Una Majini

wimbo

Wimbo wa Koffi Olomide Ekotike umetokea kupendwa sana na watu wengi. Licha ya watu wengi kutofahamu maneno ya wimbo huo bado wamekuwa wakiupenda hasa sehemu ya kibwagizo chake. Wimbo huu umekuwa maarufu sana nchini Congo na katika Afrika ya Mashariki kama si duniani kote.

Ukiwa Tanzania, ni jambo la kawaida sana kusikia wimbo huu ukipigwa sehemu mbalimbali. Inawezekana wimbo huu umefanya vizuri sana. Zipo tetesi za kuzuiwa kwa wimbo huu nchini Congo kutokana na maneno yake.

Pata Burudani!

Comments

comments