Hizi Mila Nyingine Sio Nzuri

mila

Juzi nimeenda kuzika rafiki yangu huko kijijini kwao, sasa utaratibu ni kuwa baada ya kuzika mzee wa kimila huwa anaamka na kutangaza atakayefata kufa mkiwa bado eneo la kaburi. Mzee huyo alipoamka akasema mtu wa kwanza kutoka eneo la kaburi ndio atakayefata kufa??.

Leo siku ya tatu bado tunazunguka zunguka tu hapa makaburini pamoja na yule mzee…kweli kifo sio kizuri…?

Chezea Mila weye……….!!!!!!!!!?

Comments

comments