I-have-a-confession

Umetoka utokako kwa nia ya dhati kabisa uende ukamwombe msamaha mkeo kwa kosa lako kubwa la kuwa na nyumba ndogo moja tu! Hali hiyo ya kuwa na nyumba ndogo ilikuwa inakukosesha sana amani hivyo unaona ni bora umwombe msamaha mkeo ili uachane na nyumba ndogo!


Kutokana na ugumu wa jambo hilo unaanza kulizungumza mara tu unapofungua mlango lakini cha kushangaza unakutana na kile kinachoonekana kwenye picha hii!

Ungekuwa wewe ungefanyaje?


Comments

comments