Haya Si Maigizo | Azaa Huku Kasimama Na Akirekodiwa Kwa Video

kuzaa

Haya si maigizo! Kuna usemi usemao uchungu wa mwana aujuaye ni mama (mzazi!) Tukio hili naweza kusema si la kawaida na sijawahi kulishuhudia. Mwanamke mmoja amerekodiwa akijifungua mtoto peke yake akiwa kasimama. Mbali na zoezi la kuzaa huku kasimama,mwanamke huyo ambaye alikuwa anarekodiwa aliweza kuzaa mtoto wake salama bin salimini. Aidha tukio hili linaonekana ni la kipekee zaidi na huenda mwanamke huyu aliahidiwa mkwanja mrefu sana (Mawazo yangu tu haya)!


Sijui kama jambo hili  linawezekana kwa mwanamke katika mazingira ya  kawaida kutokana na unyeti wa jambo lenyewe! Si rahisi mtu kujifungua huku anarekodiwa katika tamaduni zetu sisi Wamatumbi! Ndio maana nahisi aliweza kufanya hili kwa sababu  inaonekana alipewa rupia!

Video Hii Hapa

Comments

comments