Denmark Yabuni Kidhibiti Cha Mwendokasi

bikini

Nchini Denmark kumebuniwa namna ya kudhibiti mwendo kasi wa magari barabarani. Kifaa hicho kimekuwa ni mahususi kwa maeneo ambayo yanahitaji magari yatembee kwa mwendo mdogo.

Angalia Mwenyewe


Comments

comments