Tamaa

Jamaa mmoja anayefahamika kwa jina la John alienda nyumbani kwa rafikiye na kumkuta mke wa rafiki yake. Kwa kuwa jamaa alikuwa tongoza tongoza aliamua kumtongoza mke wa rafiki yake. Mkasa mzima ulikuwa hivi;

JAMAA: Shem nakupenda!
MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki yako akijua? Tena koma! ( Kwa hasira)
JAMAA: Nitakupa milioni 1!
MKE: Basi njoo kesho mchana mume wangu akiwa kazini!


Kesho yake Jamaa kaja na milioni 1 wakamalizana na mke wa rafki yake, akabandua mzigo kiulaini sana tu maana milioni moja sio mchezo! Mwanamke akatoa mikao yote na visivyoliwa akavitoa!

Jioni ilipofika mume akarudi nyumbani na kitu cha kwanza tu kukifanya alipofikia ilikuwa kumuuliza Mkewe,

MUME: Rafki yangu John kaleta hela yangu milioni 1?
MKE:  (Akajibu kwa unyonge!!) “Ndio!”


MUME: Yes! Ndio maana nampenda John kanikopa asubuhi jioni karejesha!!!!

Mke hoi mzigo umeliwa bure, chezea vijana wa mjin weye..

HAKUNA MAPENZI YA PESA 100%!!!!!!!!

**********


Comments

comments