christmas

Badala yakupika PILAU tutapika TAMBI kwenye christmas maana tutakua tumeokoa sh.15,000/=

  • Vitunguu swaumu 2000/=
  • Vitunguu maji 1000/=
  • Iliki 1000, Magome 1000/=
  • Mchele wa 2000/=
  • Soda 3000/=
  • Nyama 5000/=

Fedha hizi zitatumika kununua mfuko wa cement ili tuanze kujaza kibubu cha ujenzi wa nyumba badala ya kupanga. Karibuni saana maji ya kunywa tumechemsha ndoo nzima.
?✨Marry Christmas & Happy new year.✨?

Comments

comments