Vyuma

Vyuma vilivyotoka kwenye haja ya mtoto wa umri wa miaka 10 huko Mombasa Kenya.

Inawezekana likawa ni jambo la kuchekesha kidogo lakini lina huzuni zaidi. Huu ni moja ya mikasa ya aina yake ambapo binti mmoja wa umri wa miaka 10 amekuwa akienda haja kubwa na kutoa vyuma.


Si jambo rahisi sana kuamini kwani binti huyu amekuwa akijisaidia haja kubwa ya vyuma kama misumari, visu nakadhalika. Kuna uhusiano mkubwa wa tukio hili na imani za kishirikina ambazo wakazi wa Mombasa wanadai zimeanza kukithri tena kwa kasi.

Aidha kumekuwako na maombezi au huduma ya kiroho imekuwa ikifanywa kwa binti huyo ili kumponya na hali hiyo. Kwa maelezo zaidi angalia video hizi.

Video Ya Kwanza

Video Ya Pili


Comments

comments