faza-noeli

Msimu wa besidei ya Jizazi umekaribia na umekuja na vitimbwi vyake. Katika pita pita zangu nilikutana na familia moja ikijiandaa na besidei hiyo.

Mke: Mume wangu, Kristimasi inakuja; umepanga kuninunulia zawadi gani?

Mume: Sasa mke wangu, besidei ni ya Jizazi; inakuhusu nini wewe?

noeli-katuni

Comments

comments