Bamia Ni Tunda Au Mboga?

Siku moja matunda matatu; chungwa, apple na bamia yalikuwa yanapiga stori. Kila tunda lilikuwa linajaribu kueleza ni namna gani lilivyo la kipekee:

CHUNGWA: Mimi naona kama nafanana na dunia.

APPLE: Mimi najiona nimefanana na moyo.

BAMIA: Hebu badilisheni story tafadhali…!!!
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

Comments

comments