sala

Jamaa mmoja aliamua kwenda kupima HIV ilikujua hali yake ya kiafya. Siku hiyo ilikuwa ni Ijumaa hivyo mama mshauri alimwomba aje kuchukua majibu yake siku ya Jumatatu. Yule jamaa alikubaliana na maelekezo hayo na akaenda zake nyumbani.


Kama kawaida yake, jamaa huyo alihudhuria ibada kwa lugha ya kizungu katika kanisa moja alilokuwa anasali kila siku. Wakati nyimbo za kuabudu zilipomalizika ulifika wakati wa maombezi na mchungaji akatoa ombi kali sana!

Mchungaji: ……..Dear Father, whoever walked in this tample, may the things that he/she will receive as from tonorrow be positive…!

Yule jamaa uzalendo ukamshinda akambwatukia mchungaji,

Jamaa: Acha usenge weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

**********


Comments

comments